Maadhimisho ya siku ya NANENANE
Tar 8/8/2017 yalifanyika maadhimsho ya siku ya wakulima (NANENANE) Kitaifa katika viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi .Makamo wa Raisi Mh. Samia Suluhu Hassani alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho hayo.
Maadhimisho yaliendana na kauli mbiu isemayo “Zalisha kwa tija mazao ya na Bidhaa za kilimo,mifugo na uvuvi ili kufikia uchumi wa Kati” Pia kulikuwa na maonesho ya bidhaa mbali mbali za kilimo,mifugo na uvuvi katika mabanda mbali mbali ya Taasisi za Serikali na binafsi.
Makamo wa Raisi aliambatana na waziri wa Fedha na Mipango,waziri wa Kilimo ,na waziri wa kilimo kutoka Zanzibar,ambao walitangulia kwa kuwasalimia wananchi na baadae kujibu na kutoa ufafanuzi katika mambo mbalimbali .
Newala
Anuani ya Posta: P.O. Box 16
Simu: +255232410251
Mobile:
Barua pepe: ded@newaladc.go.tz
Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa