Friday 26th, April 2024
@Halmashauri ya Wilaya ya Newala, kata ya Kitangari
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Ally Mwalimu atafanya ziara ya kikazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Newala ambapo atazungumza na vionngozi na wanachama wa vyama vya msingi vya ushirika kuwahamasisha juu ya kujiunga na mfuko wa bima ya Afya.
Newala
Anuani ya Posta: P.O. Box 16
Simu: +255232410251
Mobile:
Barua pepe: ded@newaladc.go.tz
Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa