Friday 29th, March 2024
@Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya Newala
Ofisi ya Raisi -TAMISEMI kwa kushirikiana na Mradi wa uimarishaji Mifumo ya sekta za Umma( PS3) unaofadhiliwa na shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) Inaendesha Mafunzo ya Mfumo wa Uhasibu na Utoaji wa Taarifa katika Vituo vya Kutolea Huduma (FFARS)
Lengo Kuu
–Kutoa uelewa mpana, maarifa na stadi za kuwezesha utendaji wa moja kwa moja kwa watumishi waliochaguliwa kutoka kwenye vituo kuhusiana na uhasibu na utoaji wa taarifa katika ngazi ya kutolea huduma
Malengo Mahsusi
i–Kuwapitisha washiriki kuhusiana na utumiaji wa mwongozo wa “FFARS;
–Kutoa picha ya jumla ihusuyo “FFARS” ikiwa ni pamoja na upelekaji wa fedha moja kwa moja kwenye vituo vya kutolea huduma;
–Kuwapa washiriki stadi za msingi kuhusiana na taratibu za manunuzi katika ngazi ya kutolea huduma;
–Kuwawezesha washiriki kupata stadi za utunzaji vitabu muhimu vya uhasibu na kumbukumbu zingine za kifedha, na utayarishaji wa taarifa za fedha kwa vipindi mbalimbali
Newala
Anuani ya Posta: P.O. Box 16
Simu: +255232410251
Mobile:
Barua pepe: ded@newaladc.go.tz
Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa