• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Newala District Council
Newala District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko
      • Ukubwa wa eneo
      • Watu wa eneo husika
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya viongozi
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ujenzi
      • Planning, Statistics and Coordination
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • KIlimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • ICT & Public Relations
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Usambazaji
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
      • TASAF
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba

Ardhi na Maliasili

Idara ya ardhi na maliasili inaundwa na ardhi na maliasili katika sehemu mbili zifuatazo:-

  • Sehemu ya ardhi ambayo inajumuisha upimaji, mipango miji na uthamini mali
  • Sehemu ya maliasili ambayo inajumuisha misitu na wanyamapori

MAJUKUMU YA IDARA YA ARDHI NA MALIASILI

1. Upimaji wa ardhi.

2. Kuandaa taarifa mbalimbali zinazohusu ardhi.

3. Uthamini wa Majengo,ardhi na mali.

4. Uandaaji wa ramani.

5. Kusikiliza na kutatua migogoro.

6. Kuandaa bill za malipo ya kodi ya ardhi.

7. Upangaji wa makazi.

8. Upandaji wa miti

9. Usimamiaji sheria ya misitu na mazingira.

10. Ulinzi wa watu na mali zao dhidi ya wanyamapori waharibifu.

11. Utunzaji mazingira ikiwemo misitu na vyanzo vya maji.

MAFANIKIO YA IDARA YA ARDHI NA MALIASILI

  • Idara imefanikiwa kupima viwanja 260 katika Mji wa Kitangari.
  • Kupanga Mji wa Maputi, Mmovo na Kitangari kwa kuandaa michoro 5 ya Mipango Miji.
  • Idara imefanikiwa kuandaa hati miliki za kimila 245.
  • Utunzaji wa mazingira vikiwemo vyanzo vya maji shughuli za upandaji miti.
  • Kutoa elimu kwa wananchi kuhusu ardhi na kutatua migogoro.
  • Uanzishaji misitu 10 ya Vijiji.

SHERIA ZINAZOONGOZA UTENDAJI KAZI

  • Sheria ya misitu ya mwaka 2002.
  • Sheria ya mazingira ya mwaka 2004.
  • Sheria ndogo za Halmashauri za mwaka 2018.
  • Sheria ya ardhi ya vijiji Na. 5 ya mwaka 1999.
  • Sheria ya ardhi Na. 4 ya mwaka 1999.
  • Kanuni ya ardhi ya vijiji ya mwaka 2002.
  • Sheria ya uthamini na usajili wa wathamini Na. 10 ya mwaka 2016.
  • Sheria ya Mipango Miji Na. 7  ya mwaka 2007. 

MATARAJIO

  • Kuongeza idadi ya misitu ya Vijiji.
  • Kuwa na mashamba binafsi ya miti vijijini.
  • Kuimarisha/kuongeza uelewa wa utunzaji mazingira kwa jamii.
  • Kuongeza idadi kubwa ya upimaji wa mashamba pamoja na uandaaji wa hati miliki za kimila.
  • Kuongeza idadi ya upimaji wa viwanja.


IKAMA YA WATUMISHI 

NA

CHEO

IDADI

UPUNGUFU

1.
AFISA MALIASILI

1

-

2.
AFISA MIPANGO MIJI

2

-

3.
AFISA ARDHI

1

-

4.
AFISA ARDHI MSAIDIZI

2

-

5.
AFISA MISITU

1

1

6.
AFISA MISITU MSAIDIZI

1

1

7.
MPIMA ARDHI

1

1

8.
FUNDI SANIFU

1

1

9.
MTHAMINI

2

-

10.
AFISA WANYAMAPORI

-

2

JUMLA KUU

12

6


Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE KWA SHULE ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA January 15, 2021
  • MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 December 23, 2020
  • KUITWA KWENYE USAILI December 02, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 13, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Kampeni ya kuondoa mashamba pori na kuongeza uzalishaji yafunguliwa rasmi Newala.

    December 08, 2020
  • Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Newala wachagua mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa Halmashauri hiyo

    December 05, 2020
  • Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala watakiwa kuwatumikia wananchi wa Newala kwa uaminifu.

    December 05, 2020
  • Mawakala wa vyama vya siasa kwenye uchaguzi mkuu 2020 waapishwa Newala

    October 21, 2020
  • Ona Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Historia ya Halmashauri
  • Idara ya Rasilimali Watu

Kurasa mashuhuri

  • Tovuti Rasmi ya Rais
  • Poralg
  • Secretariet ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Newala

    Anuani ya Posta: P.O. Box 16

    Simu: +255232410251

    Mobile:

    Barua pepe: ded@newaladc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hakimiliki@2016 Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Haki zote zimehifadhiwa